Huyu mbabe wa dunia aliyesimamia nywele za wazungu bila maji akazawadiwa kifo ndio rais pekee aliyenifanya nihifadhi hotuba zake zaidi ya mia NNE nikajifunza yakwamba "kiongozi mwenye msimamo duniani asipokuwa mzungu ni dikteta"
Tunaomba kujua huyu mama kama yupo hai..hii siku alijiskiaje...half hapa bado walikuwa hawajamjua vizuri mwendazake...shenzi sana hawa....na uskute hii hali imejirudia sasa hv...huyu baba mungu amuhifadhi huko aliko...kilikuwa chumaaaa
Mungu bado yupo nasi tutapata tu rais mwengine atakuwa kama wew baba ila kwa sasa atuna kiongoz wa kuendesha kazi zako ila yupo aliyekalia kiti tu na kula kuku na mrija
Poleni Sana ndugu zangu watanzania Kwa kumpoteza mchapa kazi na mjasuri Kwa maamuzi na pya mwenye utu Kwa kila mtu na kuheshimu wakubwa Kwa wadogo wakike na wakiume
Kweli baba, nchi yetu na wananchi wetu tunaibiwa, hivi kwann watanzania dhambi yetu ni kubwa? Hali ni mbaya Tanzania yetu. Pumzika kwa amani. Mungu akuondolee adhabu ya mauti.
Kwa Nini tusiendelee kukumbuka Kazi ya Magu yatupasa, Ukiwa mwizi hata majibu yako nayo yatakuwa Ni ya wizi tu, Majibu yamekuwa sifuri kabisa pumbavu zao!
4:16 mhudumu wa uwanja 'Ni arrivals'...4:19 Rais maghufuli 'Arrival!kwa hivyo unataka kusema staffs wote huwa ni arrival'?😆😂😅,..Rais maghufuli ulikuwa kiongozi wa pekee sana,endelea kupumzika kwa amani 😢🙏🙏
Kama kuna binaadamu alifariki ikaniuma ni wazazi wangu na huyu mzee, lo! Afadhali Mungu angempa nafasi kuendeleza Tanzania awe kioo cha maraisi wengi wa Africa hawana maana 😢😢
Ifikie hatua sehemu nyeti zijulikanike pia na wakuu wa mikoa kumsaidia rais, kama isingekuwa kusafiri na ndege maana yake hiyo ingekuwa njia ya panya...Tanzania tuamke hadi viongozi wa chini sio mpaka mawaziri au wakuu wa mikoa...na ni vyema kuthibitisha kwa uhakiki...mpaka rais afanye haya...lol...inaweza kuchukua muda mrefu kukua kiuchumi kwa mwenendo wa kumtegemea rais, viva rais na uwe na afya njema siku zote za uongozi wako...
Duuh huyu mwamba huyu!RIP.Tunapoongoza watu lazima kuwashirikisha staff wote kuanzia ngazi ya chini.Sasa hivi Domestic pia wanakagua Daresalaam wakati wa kufika
Ahsante Jpm hata maisha yangu yamebadilika kwa misimamo yangu niliyo copy kutoka kwako
Huyu mbabe wa dunia aliyesimamia nywele za wazungu bila maji akazawadiwa kifo ndio rais pekee aliyenifanya nihifadhi hotuba zake zaidi ya mia NNE nikajifunza yakwamba "kiongozi mwenye msimamo duniani asipokuwa mzungu ni dikteta"
Umesema kweli baba
Trueeee
Uyu wazungu na wasaliti baina yetu, walimmaliza...
Hakika kaka
P0a
@@gabylove4602
Shida ya African ni wa africa tu ! 😢😢😢 RIP BAba najia uchungu kila siku , na misi mutanzania so sad 😢
😢😢😢😢😢😢 jembe ya wanainchi.
Mpaka sasa bado ningali na maumivu ninapo tizama kazi zako baba pumzika kwa amani,mwenyezi mungu tukumbuke tena tunakuomba ameeen
Musa shegh dar
Huge Loss of a true Hero..😔🤨😪
Mrrtþtttþ¾eedèŕrŕŕrŕe
Taarifa za habari zilikuwa za moto sanaaa; Rais alikuwa mchapakazi..
Tunaomba kujua huyu mama kama yupo hai..hii siku alijiskiaje...half hapa bado walikuwa hawajamjua vizuri mwendazake...shenzi sana hawa....na uskute hii hali imejirudia sasa hv...huyu baba mungu amuhifadhi huko aliko...kilikuwa chumaaaa
Ameshafariki alikua anakaa tabata mke wa jjjj marangu
@@majumbatv1116 mungu amlaze mahali pema na tunamuombea kwa mungu amsamahe dhambi zake... Mungu amrehem.
Alifàriki kwa kuumwa? Au kwa kihoro cha tukio hili?
mafisadi wanmtaka raisi kama huy mama
huyu raisi hakuna kitu bira riendetu
Ni mafisadi tu wanaweza kutuambia kuwa huyu alfuwa hafai kabisa.
My President forever R.I.P Baba
R I P DADY.. you’ll always be in our hearts..
Akitokea rais mwenye kujua vitu kama magu mniite mbwa niko lape👉 nimekaa
Haha, yani wewe
Philip mpango
Palamagamba John kabudi
Paul makonda
Hawez tokea mwamba Kama huyu,tunzen Maneno haya....Bongo hii sku akitokea atapgwa ndan ya saa6 tu
Huyu rais ana akili sana,yaani arrival and departure passengers wanaweza tumia scanning machine moja
Duh magu mungu akulaze maali pema
Poleni kumpoteza jembe huyo
Hona ukaguzi wake sehemu nyeti
Lala pema peponi kamanda,
Siwezi kumlaumu MUNGU ila kila jambo linamakusudi yake lakini tunaumia sana
Lala salama mjomba magu yote maisha tu tumeshindwa kukutumia mungu ameamua kukubeba lala salama
One in a million..Rest easy Buldoza
RIP JPM we really miss you. Mambo haya unaweza kuta yamerudi tena!!!
Allah akuhifadhi mzeh wetu
Great Loss, Mungu utulinde.
Mungu bado yupo nasi tutapata tu rais mwengine atakuwa kama wew baba ila kwa sasa atuna kiongoz wa kuendesha kazi zako ila yupo aliyekalia kiti tu na kula kuku na mrija
bba ahsante kwa kazi
Rais Wa Dunia JPM pumzika kwa Amani
Poleni Sana ndugu zangu watanzania Kwa kumpoteza mchapa kazi na mjasuri Kwa maamuzi na pya mwenye utu Kwa kila mtu na kuheshimu wakubwa Kwa wadogo wakike na wakiume
Kweli baba, nchi yetu na wananchi wetu tunaibiwa, hivi kwann watanzania dhambi yetu ni kubwa? Hali ni mbaya Tanzania yetu. Pumzika kwa amani. Mungu akuondolee adhabu ya mauti.
Enzi za nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi.
Chuma ulifanya kazi kiufundi sana roho yako ipumzike kwa amani.
Huyu alikuwa rais mfuatiliaji!! Hakika amepita sijui kwamiaka yaribuni kama atapatikana mtu kama huyu muadilifu na mzalendo
Atotokea Kwa kizazi hiki
Mungu hutoa kwa namna inavyompendeza tusubiri Maamuzi ya Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema
Pumzika kwa Amani Baba. Umetimiza wajibu wako. RIP. 😭
Nnani anaepitia magufuli 2024 ❤❤❤
Nipo hapa 2025😢
Nipo hapa 2025
Kwa Nini tusiendelee kukumbuka Kazi ya Magu yatupasa, Ukiwa mwizi hata majibu yako nayo yatakuwa Ni ya wizi tu, Majibu yamekuwa sifuri kabisa pumbavu zao!
Mwaka mmoja bado ni mgeni 😂😂😂😂😂😂😂 7:00
genious
14:23 MR PRESIDENT YUKO NA QUESTIONING MIND 😎😎
Bado tunakikumbuka kipenzi kusahau ni ngumu
Daaa uyu jaaaaa niatareee sana pumzika kwa amani jembe
Magufuli rip 😭😭 ulikuwa rais Wa nguvu
We miss you
Huyu mwamba alikuwa chuma
chuma hasaa
Naangalia leo Tarehe 08.09.2024, ila naona kama chuma bado kipo hai. Mungu akurehemu JPM.
Likewise 12/12/2024 I'm watching this I feel like bado yupo hai
4:16 mhudumu wa uwanja 'Ni arrivals'...4:19 Rais maghufuli 'Arrival!kwa hivyo unataka kusema staffs wote huwa ni arrival'?😆😂😅,..Rais maghufuli ulikuwa kiongozi wa pekee sana,endelea kupumzika kwa amani 😢🙏🙏
Mungu akupe pumziko la Amani
R.i.p jpm🙏🙏
Jaman Kuna wanawake Wana adabu mkono tu na goti kuchuchumia daah l wish all now days girls be like these mamas
Jamani kilamala nashindwa kuamini kuwahayupo Tena inaniumaaaa 😭😭😭
The best leader in East and central Africa 💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿.
Nakukumbuka sana magu 😢
Kama kuna binaadamu alifariki ikaniuma ni wazazi wangu na huyu mzee, lo! Afadhali Mungu angempa nafasi kuendeleza Tanzania awe kioo cha maraisi wengi wa Africa hawana maana 😢😢
Hivi ndivyo mambo ya nchi yetu yalivyo.
Inasikitisha mno.
Hakuna anayesema ukweli, taaluma haitumiki na haku dhana ya uwajibikaji kabisa
Huyu mwamba huwezi kumlinganisha na kitu chochote forever and ever aaan ila basi tu 😢😢😢😢😢😢
Dah nchi inajiriwa wazembe hii zehemu nyeti kama hizi😢😢😢
Namuona makonda😭😭😭😭mungu akulaze roho ya marehem mahala pema
2025, Magufuli
Hii siku watu walikataana hapo ndani, kila mtu na jibu lake😅😅😅
Sema ukweli 😂😂😂😂👍👍👍
Mungu nakuomba utupe raisi mwengine kama magufuli ee baba
Tutakukumbuka milele😭😭😭😭
Mungu acha aitwe Mungu
😢Rest well ....Your Excellency Dr John makufuli ,u were a no nonsense leader,
Wazuri wanaenda mapema. Miss you baba.
Same here😢😢😢
Kama ni mimi nigefanya tu nimekufa siwezi kubali aibu kama hii 😔
Mkuu alikua anaenda sehemu akiwa na taarifa nzuri kabisa, alafu anakuhoji kuchekecha kukupima aone uwajibikaji wako ukoje.
😂😂😂😂😂 yani nimemmiss sana😢😢😢😢😢
Just imagine .... airport hapo hakuna ukaguzi kabsa sasa sehem zingine inakuaje😊😢??
kazi kwa vtendo
That's management indeed.everyone must be accountable for his docket
Kilamala nikienda bukoba nikafika chato nakuona kazi alizofanya uwanaliaaaaa😭🤭
Dunia mzima tulipoteza Kiongonzi❤❤
Rest in peace
Yaani huyu raisi no one kwakweli
Nimerudia mara mbili mbili, kila nikimuangalia mama dah n aibu
Tutakukumbuka babaetu,Pumzika kwa AMANI baba.
Kama utasema huyu hakuwa mzuri basi dhambi itakuwakia
Kuna jamaa anatoa macho hapo
daah, RIP JPM
Wallahi angekuwepo mpk saiv tungekuwa mbali vby mno😢
MUNGU akuweke mahala pema peponi ameen,
Ila maisha👋 pumzika kwa amani chuma JPM🙏
R.I.P dady😭😭😭😭😭😭😭
Tumepoteza chapakazi na mfuatiliaji mzuri
Ifikie hatua sehemu nyeti zijulikanike pia na wakuu wa mikoa kumsaidia rais, kama isingekuwa kusafiri na ndege maana yake hiyo ingekuwa njia ya panya...Tanzania tuamke hadi viongozi wa chini sio mpaka mawaziri au wakuu wa mikoa...na ni vyema kuthibitisha kwa uhakiki...mpaka rais afanye haya...lol...inaweza kuchukua muda mrefu kukua kiuchumi kwa mwenendo wa kumtegemea rais, viva rais na uwe na afya njema siku zote za uongozi wako...
Huyu jamaa alikua na uchungu na tz
Hatutapata rais kama huyu
Byan huyu Mwamba Mungu ndo anajua
Hilo lizee la nyuma mbona kama museveni wa uganda
Ahahaha mwenyewe nikajua museven
Ulinidanganya sindio
Duuh huyu mwamba huyu!RIP.Tunapoongoza watu lazima kuwashirikisha staff wote kuanzia ngazi ya chini.Sasa hivi Domestic pia wanakagua Daresalaam wakati wa kufika
Kwa kweli Kuna watu mungu aliwapa hakili ya kuhongoza lchi na kufatilia kweli kweli, pumzika kwa Amani aliekuwa Rais mkamilifu mwenye busara ndefu,
Kila siku nikiona video ya ayati mangufuli huwa na humiaka kwenye rohoo Sana ,
hayati@@huguetteomari3198
Who still listening for this 8/04/2025
When the public is rotten, there won't be civilization in a country. I still can't believe this great is no more. R. I. P Daktari
Millard unanikumbusha mbali
Mising you so much my przdt😭
Good job
MUNGU alitupa zawadi ya muda ilitufahamu mengi na ulipofika wakati aliouamuru yeye MUNGU akamchukua BWANA Ulitoa NAWE ulitwaa JINA LAKO LIHIMIDIWE
HII SIKU KUNA MTU ANGELIWA KICHWA HAPA😂😂😂😂 10:32
Chuma cha kazi kimeenda hicho du!! mungu amlehem
You went too soon ,Much love from Rwanda
😢😢 r.i.p Jpm
Sasa ulikufa wabunge wako siku hizi wanapiga minada tu rasilimali za nchi,deni trilioni 92😢
Jembe sana mwamba alikuwa
Endelea kupumzika kwa amani mwamba na shujaa wa Afrika
Dah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
MAWASILIANO (COMMUNICATION) NI MUHIMU SANA KATIKA SEHEMU ZA KAZI. KWA NINI HAMKUTA ( BREFING NI MUHIMU) ASUBUHI KABLA YA KUANZA KAZI?